Ushindani wa Yanga umenirudisha mazoezini - Kessy Beki mpya wa Yanga Hassan Kessy amesema hana maana ya kuendelea kupumzika huku akijua kabisa ushindani mkali ulio katika kikosi cha Yanga. Read more about Ushindani wa Yanga umenirudisha mazoezini - Kessy