Mbeya City kuanza maandalizi ya Ligi nchini Malawi Timu ya Mbeya City inatarajiwa kufanya ziara ya michezo ya kirafiki nchini Malawi katikati ya mwezi huu ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara. Read more about Mbeya City kuanza maandalizi ya Ligi nchini Malawi