Wafanyabiashara wadogo Dar wanufaika EFD's za bure
Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania (TRA)imeanza kugawa mashine za EFDs Bure kwa wafanyabiashara wadogo na wakati ambapo mpaka sasa wameshatoa mashine kwa wafanyabiashara 5703 kwa Mkoa wa Dar es Salaam pekee.