Serikali yakiri ulipaji kodi mara mbili

Serikali imesema inatambua uwepo wa utaratibu wa kutozwa kodi mara mbili kwa wafanyabiashara wanaoingiza bidhaa za nje Tanzania bara kupitia Zanzibar kwa sababu ya kutokana na mifumo tofauti ya ulipaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS