Ureno yatinga fainali Ureno imekuwa nchi ya kwanza kuingia fainali ya michuano ya Euro 2016 baada ya kuzima ndoto za Wales kwa kuichapa magoli 2 - 0 katika mechi ya nusu fainali. Read more about Ureno yatinga fainali