Mohamed Ali kuzikwa Ijuma ijayo nyumbani kwao.
Safari ya mwisho duniani kwa nguli wa mchezo wa masumbwi ya kulipwa ulimwenguni Mohamed Ali aliyewahi kuwa bingwa wa mikanda tofauti ya uzito wa juu duniani itahitimishwa Ijumaa ya juma lijalo katika mji aliozaliwa mwanamasumbwi huyo gwiji duniani.