Dance 100% 2016 kuanza Jumamosi na mengi mazuri
Shindano la Dance 100 linaloratibiwa na kampuni ya EATV linatarajia kuanza kwa kishindo katika viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es salaam ambapo mwaka huu ni msimu wa tano tangu kuanzishwa mwaka 2012.

