Barcelona kulipa faini ya Euro milioni 5.5 Neymar Klabu ya Barcelona imekubali kulipa faini ya euro milioni 5.5 kutokana na makosa waliyofanya katika ulipaji kodi kufuatia usajili wa mchezaji Neymar kutoka Santos mwaka 2013. Read more about Barcelona kulipa faini ya Euro milioni 5.5