Asilimia 48 ya wanawake wanajifungulia majumbani
Wizara wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imesema kuwa wizara hiyo itaendelea kutoa elimu yakutosha kwa wajawazito kujifungulia hospitalini ili kusaidia katika jitihada za kupunguza ugonjwa wa fistula unaowatesa wanawake wengi nch