"Muonekano wangu ulinipa hofu ya kurap" - Stosh Msanii ambaye ni rapper wa kike kutoka hapa Bongo, Stosh, amesema kuwa alipata wakati mgumu wakati anaanza game, kwani alikuwa na hofu jinsi ya muonekano wake ulivyo. Read more about "Muonekano wangu ulinipa hofu ya kurap" - Stosh