TPSF kuendelea kutafuta fursa za uwekezaji

Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF,Godfrey Sembeye.

Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), imesema itaendelea kuweka kipaumbele katika kutafuta fursa za uwekezaji kiuchumi na biashara kwa kuwa nchini nyingi duniani uchumi wake unakua kupitia sekta binafsi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS