Walinzi wa Kampuni moja inayofanya shughuli zake hapa nchini.
Tanzania haiwezi kupiga hatua kimaendeleo na kupunguza tofauti ya hali ya maisha na kipato kwa watu wake iwapo idadi kubwa ya nguvu kazi ipo kwenye sekta ambazo hazina umuhimu mkubwa katika uzalishaji.