Magari ya biashara marufuku kukodiwa kwa wanafunzi
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani nchini Tanzania kimepiga marufuku magari ya biashara na mabasi yasiyokidhi viwango ikiwa ni pamoja na daladala kukodishwa na mashule kwa ajili ya kuwasafirisha wanafunzi.

