Lissu afunguliwa mashitaka mengine, apewa dhamana

Tundu Lissu akiwa mahakamani

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amepewa dhamana muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kukana mashitaka matatu ya uchochezi aliyosomewa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS