Yanga kuwakosa Abdul, Msuva game ya leo

Mawinga wa Yanga, Simon Msuva (kulia) na Geoffrey Mwashiuya (kushoto)

Yanga inashuka dimba la Taifa jijini Dar es salaam leo kukipiga na Mtibwa Sugar katika mchezo wa kirafiki huku ikitarajiwa kuwakosa nyota wake watatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS