Stereo, Nikki Mbishi kwenye 'Sisi' Stereo, Nikki Mbishi na One the Incredible, wameungana na kuunda kundi linaloitwa ‘Sisi’ na tayari wamerelease ngoma mpya kuwatambulisha. Read more about Stereo, Nikki Mbishi kwenye 'Sisi'