Akizungumza kwa niaba ya wenzake Stereo amesema ngoma hiyo iliyobeba jina la ‘Sisi’ wamemshirikisha rapa mwenzao Godzilla.
“Sisi ni kundi jipya la wasanii wa muziki wa Hiphop ambao kwa kutambua nguvu ya pamoja tumeamua kuja tofuti kwa ajili ya kuelimisha na kutoa burudani kwa mashabiki na wafuasi wetu,” alisema Stereo.




