Ben Pol Msanii wa Bongo Fleva nchini Ben Pol amesema hayupo tayari kuweka bayana mambo ya kifamilia katika mitandao ya kijamii au kwenye chombo cha habari kwa kuwa haamini kama kufanya hivyo kutamsaidia. Read more about Ben Pol