Paul Pogba Klabu ya Juventus ya Italia imemruhusu mshambulizi wake Paul Pogba kufanyiwa vipimo vya afya Old Trafford ikiwa ni moja ya ishara kuwa huenda Manchester United imeafikiana na wakala wake kumnunua mchezaji huyo. Read more about Paul Pogba