Sipo tayari kuzungumzia mambo ya kifamilia-Ben Pol

Msanii wa Bongo Flava Ben Pol

Msanii wa Bongo Fleva nchini Ben Pol amesema hayupo tayari kuweka bayana mambo ya kifamilia katika mitandao ya kijamii au kwenye chombo cha habari kwa kuwa haamini kama kufanya hivyo kutamsaidia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS