Viongozi wa serikali kagueni madawati-Samia Suluhu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu amewataka viongozi wa serikali ambao wanahusika kusimamia na kupokea madawati yanayotolewa misaada na yanayotengenezwa na wadau kuhakikisha yana ubora na viwango vinavyotakiwa
