Wagombea nafasi za juu TOC wakosa wapinzani Gulam Rashid (Aliyesimama) na baadhi ya viongozi wa TOC Kamisheni ya uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki nchini TOC imemtangaza Gulam Rashid kama mgombea pekee aliyepitishwa kugombea nafasi ya Urais ndani ya kamati hiyo. Read more about Wagombea nafasi za juu TOC wakosa wapinzani