Serikali yaeleza sababu za 'kufilisi' mabenki

Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru

Serikali imesema uamuzi wa kuhamisha fedha zake kiasi cha sh. billioni 515 kutoka mabenki ya biashara na kupeleka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) hakihusiani na mzunguko mdogo wa fedha uliopo sasa bali hali hiyo inatokana na mikopo mibovu ya mabenki hayo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS