Majambazi wavamia mgahawa, wapora na kujeruhi
Watu wanaodaiwa kuwa majambazi wamevamia mgahawa wa Dinners jijini Mwanza uliopo katika mtaa wa Kenyatta Road na kupora kiasi cha fedha kisichojulikana na kujeruhi watu wawili kwa risasi kabla ya kutoweka.

