Sababu ya ajali ya ndege iliyoua wachezaji yatajwa

Mabaki ya ndege iliyoanguka

Taarifa zinasema kuwa ndege iliyoanguka nchini Colombia na kusababisha vifo vya watu 76 wengi wao wakiwa wachezaji wa klabu ya Chapecoense ya nchini Brazil iliishiwa mafuta kulingana na mkanda wa video uliovujishwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS