Prof. Maghembe azidi kulia na wanaoharibu misitu

Prof. Jumanne Maghembe

Serikali imesema bado kuna changamoto kubwa katika sekta ya misitu hasa uvunaji haramu na usafirishaji wa magogo nje ya nchini kinyume na sheria pamoja na ukataji miti ovyo usiokuwa na mipaka ambao unailetea madhara makubwa kwa nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS