Jokate afunguka sababu za ukimya kwenye muziki

Jokate Mwegelo

Msanii wa bongo fleva na mdau wa urembo nchini Tanzania Jokate Mwegelo ameelezea sababu ya kukaa muda mrefu bila kutoa nyimbo ikiwa tayari ana nyimbo zaidi ya tatu japo aliahidi  kurudi tena mwishoni mwa mwezi huu. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS