Sababu za gharama kubwa ya makaa ya mawe zatajwa

Charles Mwijage (kushoto) - Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji akiongea na wanahabari leo

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Charles Mwijage ametolea ufafanuzi gharama kubwa za makaa ya mawe yanayozalishwa nchini ikilinganishwa na yale yanayotoka nje ya nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS