Lema akwaa kisiki, rufaa yake yatupwa rasmi
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema , amekwama tena kutoka mahabusu ambako anashikiliwa kwa mwezi mmoja sasa na kurudishwa Mahabusu katika gereza Kuu Kisongo, baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kuifutilia mbali Rufaa yake.

