'Upcoming' wameharibu soko la Bongo Movie - Sandra
Mkongwe wa bongo movie Sandra amewachana wasanii wanaoingia katika tasinia ya bongo movie kwa malengo ya kupata umaarufu ili wapate njia za kufanya mambo yasiyofaa katika jamii kupitia umaarufu walioupata.

