Majaliwa amsimamisha kazi Mhasibu Mkuu Ngorongoro

Ofisi za makao makuu ya NCAA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mhasibu Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya  Ngorongoro (NCAA), Sezzary Simfukwe kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha zinazomkabili na tayari  anahojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS