Faida za viza za Israel kutolewa nchini zaainishwa
Serikali ya Israel imeanza kutoa huduma za viza moja kwa moja kutokea jijini Dar es Salaam ambapo kwa mujibu wa Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Maghembe, hatua hiyo itachochea ukuaji wa biashara pamoja na ushirikiano wa kidiplomasia.