Watu mtaani wanahitaji sana album - Mkoloni
Rapa Mkoloni kutoka katika kundi la Wagosi wa Kaya kwa sasa ametoka kama Solo Artist na kuachia album yake inayokwenda kwa jina la 'Malengo' na kusema kuwa kuna mahitaji makubwa sana ya album mtaani kwa sasa.