Wajelajela wamtosa rasmi kocha Abdul Mingange

Abdul Mingange

Aliyekuwa kocha Mkuu wa timu ya Wajelajela Tanzania Prisons Abdul Mingange amesema, kwa sasa yupo tayari kufanya kazi na timu yoyote itakayomuhitaji mara baada ya kuachwa na Wajelajela hao wa jijini Mbeya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS