Wanaowania Tuzo za EATV waanza kuwekwa hadharani

East Africa Television LTD ambao ndiyo waandaaji wa EATV AWARDS, mwishoni mwa wiki hii wanatarajia kuanza kutangaza wasanii wanaowania tuzo hizo katika vipengele mbalimbali ambao wamepitishwa na timu ya majaji pamoja na 'Academy' maalum ya tuzo hizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS