Nuruelly anahitaji mshauri mzuri - Steve RnB
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Steve RnB amefunguka na kusema kuwa katika wasanii wa kuimba Tanzania msanii Nuruelly anakipaji kikubwa sana na ana uwezo wa hali ya juu kiasi kwamba anaweza kufanya mambo makubwa kwenye muziki wa bongo fleva.