Mkwasa aita 24 Taifa Stars kuivaa Zimbabwe

Boniface Mkwasa - Kocha wa Taifa Stars

Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ametaja kikosi cha wachezaji 24 kitakachoingia kambini Novemba saba kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe utakaopigwa Novemba 13 mwaka huu nchini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS