Samia akusanya milioni 290 za mafunzo kwa wakunga
Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza mamia ya wananchi wa Dar es Salaam katika matembezi ya hisani ya kilomita 4.2 ya kuchangia fedha kiasi cha shilingi milioni 500 kwa ajili ya mafunzo ya wauguzi, wakunga 400.