Yanga yamtema rasmi Mbuyu Twite Mbuyu Twite akiitumikia klabu yake ya Yanga Mchezaji kiraka wa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Dar Young Africans, Mbuyu Twite ametemwa rasmi katika klabu hiyo baada ya mkataba wake kumalizika. Read more about Yanga yamtema rasmi Mbuyu Twite