Marehemu wanaodaiwa mikopo HESLB, kusamehewa
Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) pamoja na na Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imejikuta ikitoa taarifa zinazokinzana kuhusu wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu ambao tayari wamekwisha poteza maisha.
