Kupandisha tozo za maegesho siyo dhambi - Meya Dar
Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amejitokeza na kutolea ufafanuzi uamuzi wa halmashauri hiyo kupandisha tozo za maegesho ya magari, na kusema kuwa uamuzi huo siyo dhambi kwa kuwa ulikuwa ni muhimu kufanyika kwa sasa.

