Bossou ampigia 'saluti' Lwandamina Vincent Bossou Mlinzi wa kati wa Yanga raia wa Togo Vicent Bossou, amemwagia sifa kocha mpya wa timu yake Mzambia George Lwandamina, kwa kusema mazoezi yake ni kielelezo tosha cha wao kwenda kutetea ubingwa wao msimu huu. Read more about Bossou ampigia 'saluti' Lwandamina