Mke wa Dkt. Shein aonya watakaovuruga amani Pemba
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein amewataka Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuendelea kuwaelimisha vijana wasikubali kutumika katika vitendo vinavyoweza kuvuruga amani na kwamba uchaguzi umekwisha.