Maafisa usalama wamuondoa Trump jukwaani Donald Trump akiondolewa jukwaani na afisa usalama baada ya kudaiwa kuwepo tishio la usalama wake. Mgombea urais wa Marekani Donald Trump amejikuta akiondolewa haraka jukwaani huko Nevada na maafisa usalama kwa kuhofia usalama wake. Read more about Maafisa usalama wamuondoa Trump jukwaani