Wasanii wengine watajwa tuzo za EATV AWARDS

Leo zikiwa zimebaki siku 32 kutolewa kwa Tuzo za EATV (EATV AWARDS) kampuni ya East Africa Television LTD kupitia kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio leo wametangaza wasanii wengine kumi wanaoshiriki katika vipengele viwili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS