Mamilioni yaporwa kwa kutumia bastola bandia Dar
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kikosi chake maalum cha kupambana na ujambazi wa silaha limefanikiwa kuwatia mbaroni watu watatu kwa kosa la kula njama ya kuiba zaidi ya shilingi milioni 200 huku wakiwa na bastola bandia.