Mchumba wangu ni 'wife material' - Q Chief

Q Chillah ndani ya studio za EA Radio

Msanii Q Chief ameamua kufunguka kuhusu suala la ndoa ambalo lilikuwa mezani kabla ya kutokomea kimya kimya, ambapo amesema kuwa mpango wa ndoa bado upo palepale.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS