Chama cha Kuogelea Tanzania chaomba msaada Kuogelea Chama Cha Kuogelea nchini TSA kimeomba wadau wa mchezo huo kujitokeza kusaidia miundombinu ya mchezo huo ili makocha wa mchezo huo waweze kufaidika pindi wanapomaliza kozi mbalimbali za mchezo huo. Read more about Chama cha Kuogelea Tanzania chaomba msaada