Vigogo TFF wafikishwa mahakamani kwa rushwa

Jamal Malinzi - Rais wa TFF

Waliokuwa viongozi katika Shirikisho la Soka nchini tanzania (TFF), Martine Chacha na Juma Matandiko wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka ya kuomba rushwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS