Yanga yazidi kuikaba koo Simba Ligi Kuu Bara
Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara Yanga wamefanikiwa kuibuka na pointi tatu mbele ya Maafande Ruvu Shooting mara baada ya kuwachapa bao 2-1 na kuifanya Yanga kuwa nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi kwa kuwa na pointi 33.